DOWNLOAD Diamond Platnums Kamata MP3 DOWNLOAD
Download Free “Diamond Platnumz – Kamata” MP3 AUDIO | MP4, Lyrics & Skull 320kbps Music On Thinknews
Diamond Platnumz produces another trending song titled “Kamata ” and it’s right here for your fast Mp3 Download.
Naseeb Abdul Juma Issack – Kamata is solely free for your MP3 DOWNLOAD at “Thinknews”, Add Diamond Platnums Kamata to your music tracks and enjoy!.
Naseeb Abdul Juma Issack (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz , and often referred to as “Simba” (meaning Lion in Swahili) or “The King of Bongo-Flava” is a Tanzanian bongo flava recording artist, actor, dancer, philanthropist and a businessman from Tandale, Dar es Salaam. He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Zoom Extra, Wasafi TV, a Tanzanian media outlet, and Wasafi Fm, one of Tanzania’s latest radio stations.
Listen & Download Diamond Platnumz – Kamata MP3 Below:
DOWNLOAD MP3
https://youtu.be/N-Km767E3uo
LYRICS
Kamata, Kamata Kamatika, kamata Kamata, Kamata Mpaka Chini, kamata
Kamata, Kamata Kamatika, kamata Kamata, Kamata Mpaka Chini, kamata
Kamata kiuno, kamata bega Kamata kichwa ka ndoo unabeba Kamata kimini chalegalega Wooh! Maana chashuka chini unanitega
Aah! Mah! Yaleo kiboko Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo Ana komesha toto Nami naleta nyundo nimtwange kokoto
Kamata, Kamata Kamatika, kamata Kamata, Kamata Mpaka Chini, kamata
Kamata, Kamata Kamatika, kamata Kamata, Kamata Mpaka Chini, kamata
Eeeh! Kama gari ile vuum! vuum! (Vuum! Vuum!) Mtoto mkali mchum mchum (Mchum! Mchum!) Ikiwa ngangali ile ngumu ngumu (Ngumu! Ngumu!) Nenda kamchinjie mbali kwa room room
Sa Twende kamata Kama unaisakata nyumba kwa bambata Ile kinoma Tegeta, Tabata fanya unaifatata Za mbuzi kakataa, Amegoma Aaii!
Kati kati, Chini Chini, Kamata Kasi Kasi, speed 120, Kamata Eeeh! Kama unamenya ndizi, Kamata Police anashika mwizi, Kamata
Aah! Mah! Yaleo kiboko Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo Ana komesha toto Nami naleta nyundo nimtwange kokoto
Nasema Kamata, Kamata Kamatika, kamata Kamata, Kamata Mpaka Chini, kamata
Kamata, Kamata Kamatika, kamata Kamata, Kamata Mpaka Chini, kamata